Ecclesiastes 8:1

1Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima?
Ni nani ajuaye maelezo ya mambo?
Hekima hung’arisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake.

Mtii Mfalme

Copyright information for SwhKC